Mtu mmoja wa Kijiji cha Majimaji Ruvuma, Patrick Vitus amekatwa sehemu zake za siri na kuachwa zikining’inia.
Ofisa
Mtendaji Wa Kijiji hicho Hussein Mkali amesema Partick alikatwa sehemu
zake za siri na mpwa wake Zainabu Saidi baada ya kumkatalia kwenda
kumfuata mume wake anayeitwa Musa Said ambaye alikuwa kwa mke mdogo.
Baada
ya kufanya tukio hilo Ofisi ya Kijiji ilimkamata Zainabu na kumpeleka
katika kituo cha Polisi, huku Patrick akipelekwa Hospitali ya Tunduru
kwa ajili ya matibabu.