Paul Makonda, aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni |
RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya kwa kuwateua Wakuu wapya 27, kuwahamisha vituo vya kazi 64 na wengine 42 amewabakisha kwenye vituo vyao vya kazi vya zamani.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa OWM TAMISEMI jana mchana (Jumatano, Februari 18, 2015) Waziri Mkuu Mizengo Pinda alisema mabadiliko hayo yamesababishwa na kuwepo kwa nafasi wazi 27 ambazo zilitokana na wakuu wa wilaya watatu kufariki dunia; kupandishwa cheo wakuu wa wilaya watano, kupangiwa majukumu mengine wakuu wa wilaya saba na kutenguliwa kwa uteuzi wa wakuu wa wilaya 12.
Hata hivyo, Waziri Mkuu alisema, Rais Kikwete amewabadilisha vituo vya kazi wakuu wa wilaya 64 na kuwabakiza kwenye vituo vyao vya zamani wakuu wa wilaya 42.
Wakuu wa Wilaya ambao uteuzi wao umetenguliwa kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo umri, afya na nyinginezo ni hawa hapa;
- James Kisota Ole Millya- Longido
- Elias Wawa Lali- Ngorongoro
- Alfred Ernest Msovella- Kongwa
- Dany Beatus Makanga- Kasulu
- Fatma Losindilo Kimario- Kisarawe
- Elibariki Emanuel Kingu- Igunga
- Dr. Leticia Moses Warioba- Iringa
- 8. Evarista Njilokiro Kalalu- Mufindi
- Abihudi Msimedi Saideya- Momba
- Martha Jachi Umbula- Kiteto
- Khalid Juma Mandia- Babati
- Eliasi Goroi Boe Boe Goroi – Rorya
Wakuu wa Wilaya walioteuliwa;
- Mariam Ramadhani Mtima- Ruangwa
- Dkt. Jasmine B. Tiisike- Mpwapwa
- Pololeti Mgema- Nachingwea
- Fadhili Nkurlu- Misenyi
- Felix Jackson Lyaniva- Rorya
- Fredrick Wilfred Mwakalebela- Wanging’ombe
- Zainab Rajab Mbussi- Rungwe
- Francis K. Mwonga- Bahi
- Col. Kimiang’ombe Samwel Nzoka- Kiteto
- Husna Rajab Msangi- Handeni
- Emmanuel Jumanne Uhaula- Tandahimba
- Mboni Mhita- Mufindi
- Hashim S. Mngandilwa- Ngorongoro
- Mariam M. Juma- Lushoto
- Thea Medard Ntara- Kyela
- Ahmad H. Nammohe- Mbozi
- Shaban Kissu- Kondoa
- Zelote Stephen- Musoma
- Pili Moshi- Kwimba
- Mahmoud A. Kambona- Simanjiro
- Glorius Bernard Luoga- Tarime
- Zainab R. Telack- Sengerema
- Bernard Nduta- Masasi
- Zuhura Mustafa Ally- Uyui
- Paulo Makonda- Kinondoni
- Mwajuma Nyiruka- Misungwi
- Maftah Ally Mohamed- Serengeti
Wakuu wa Wilaya Waliobadilishwa vituo vya kazi
- Nyerembe Deusdedit Munasa- Ametoka Arumeru amehamishiwa Mbeya
- Jordan Mungire Obadia Rugimbana- Ametoka Kinondoni amehamishiwa Morogoro
- Fatma Salum Ally- Ametoka Chamwino amehamishiwa Mtwara
- Lephy Benjamini Gembe- Ametoka Dodoma Mjini amehamishiwa Kilombero
- Christopher Ryoba Kangoye- Ametoka Mpwapwa amehamishiwa Arusha
- Omar Shaban Kwaang’- Ametoka Kondoa amehamishiwa Karatu
- Francis Isack Mtinga- Ametoka Chemba amehamishiwa Muleba
- Elizabeth Chalamila Mkwasa- Ametoka Bahi amehamishiwa Dodoma
- Agnes Elias Hokororo (Mb)- Ametoka Ruangwa amehamishiwa Namtumbo
- Regina Reginald Chonjo- Ametoka Nachingwea amehamishiwa Pangani
- Husna Mwilima- Ametoka Mbogwe amehamishiwa Arumeru
- Gerald John Guninita- Ametoka Kilolo amehamishiwa Kasulu
- Zipporah Lyon Pangani- Ametoka Bukoba amehamishiwa Igunga
- Issa Suleimani Njiku- Ametoka Missenyi amehamishiwa Mlele
- Richard Mbeho- Ametoka Biharamulo amehamishiwa Momba
- Lembris Marangushi Kipuyo- Ametoka Muleba amehamishiwa Rombo
- Ramadhani Athuman Maneno- Ametoka Kigoma amehamishiwa Chemba
- Venance Methusalah Mwamoto- Ametoka Kibondo amehamishiwa Kaliua
- Gishuli Mbegesi Charles- Ametoka Buhigwe amehamishiwa Ikungi
- Novatus Makunga- Ametoka Hai amehamishiwa Moshi
- Anatory Kisazi Choya- Ametoka Mbulu amehamishiwa Ludewa
- Christine Solomoni Mndeme- Ametoka Hanang’ amehamishiwa Ulanga
- Jackson William Musome- Ametoka Musoma amehamishiwa Bukoba
- John Benedict Henjewele- Ametoka Tarime amehamishiwa Kilosa
- Norman Adamson Sigalla- Ametoka Mbeya amehamishiwa Songea
- Michael Yunia Kadeghe- Ametoka Mbozi amehamishiwa Mbulu
- Crispin Theobald Meela- Ametoka Rungwe amehamishiwa Babati
- Magreth Ester Malenga- Ametoka Kyela amehamishiwa Nyasa
- Said Ali Amanzi- Ametoka Morogoro amehamishiwa Singida
- Antony John Mtaka- Ametoka Mvomero amehamishiwa Hai
- Elias Choro John Tarimo- Ametoka Kilosa amehamishiwa Biharamulo
- Francis Cryspin Miti- Ametoka Ulanga amehamishiwa Hanang’
- Hassan Elias Masala- Ametoka Kilombero amehamishiwa Kibondo
- Angelina Lubalo Mabula- Ametoka Butiama amehamishiwa Iringa
- Farida Salum Mgomi- Ametoka Masasi amehamishiwa Chamwino
- Wilman Kapenjama Ndile- Ametoka Mtwara amehamishiwa Kalambo
- Ponsian Damiano Nyami- Ametoka Tandahimba amehamishiwa Bariadi
- Mariam Sefu Lugaila- Ametoka Misungwi amehamishiwa Mbogwe
- Mary Tesha Onesmo- Ametoka Ukerewe amehamishiwa Buhigwe
- Karen Kemilembe Yunus- Ametoka Sengerema amehamishiwa Magu
- Josephine Rabby Matiro- Ametoka Makete amehamishiwa Shinyanga
- Joseph Joseph Mkirikiti- Ametoka Songea amehamishiwa Ukerewe
- Abdula Suleiman Lutavi- Ametoka Namtumbo amehamishiwa Tanga
- Ernest Ng’wenda Kahindi- Ametoka Nyasa amehamishiwa Longido
- Anna Rose Ndayishima Nyamubi- Ametoka Shinyanga amehamishiwa Butiama
- Rosemary Kashindi Kirigini (Mb)- Ametoka Meatu amehamishiwa Maswa
- Abdallah Ali Kihato- Ametoka Maswa amehamishiwa Mkuranga
- Erasto Yohana Sima- Ametoka Bariadi amehamishiwa Meatu
- Queen Mwanshinga Mulozi- Ametoka Singida amehamishiwa Urambo
- Yahya Esmail Nawanda- Ametoka Iramba amehamishiwa Lindi
- Manju Salum Msambya- Ametoka Ikungi amehamishiwa Ilemela
- Saveli Mangasane Maketta- Ametoka Kaliua amehamishiwa Kigoma
- Bituni Abdulrahman Msangi- Ametoka Nzega amehamishiwa Kongwa
- Lucy Thomas Mayenga- Ametoka Uyui amehamishiwa Iramba
- Majid Hemed Mwanga- Ametoka Lushoto amehamishiwa Bagamoyo
- Muhingo Rweyemamu- Ametoka Handeni amehamishiwa Makete
- Hafsa Mahinya Mtasiwa- Ametoka Pangani amehamishiwa Korogwe
- Dr. Nasoro Ali Hamidi- Ametoka Lindi amehamishiwa Mafia
- Festo Shemu Kiswaga- Ametoka Nanyumbu amehamishiwa Mvomero
- Sauda Salum Mtondoo- Ametoka Mafia amehamishiwa Nanyumbu
- Seleman Mzee Seleman- Ametoka Kwimba amehamishiwa Kilolo
- Esterina Julio Kilasi- Ametoka Wanging’o mbe amehamishiwa Muheza
- Subira Hamis Mgalu- Ametoka Muheza amehamishiwa Kisarawe
- Jacqueline Jonathan Liana-Ametoka Magu amehamishiwa Nzega