Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Adam Kimbisa muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo ataongoza vikao vya Kamati ya Maadili na Kamati kuu ya CCM vitakavyofanyika katika ukumbi wa White House Makao Makuu Dodoma.
Alhaj
Kimbisa amekanusha uvumi uliosambazwa katika mitandao ya kijamii kuwa
ameihama CCM. Kushoto ni Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti
wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na KAtibu Mkuu wa
CCM Ndg Abdulrahmana Kinana baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa
Dodoma ambapo ataongoza vikao vya Kamati ya Maadili na Kamati kuu ya CCM
vitakavyofanyika katika ukumbi wa White House Makao Makuu Dodoma.