Tuesday, January 20, 2015
SHULE YETU!!!!!!!! UMOJA WETU!!!!! NAFDA!!!!! DAIMA MBELE NYUMA MWIKO!!!!!!!!!!!!!!!!
Namfua shule ya secondari ni shule ilipo katika Mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Rombo Tarakea. Shule hii ni ya wazazi ambapo elimu bora hutolewa na sasa kwa umoja wa wanafunzi hao wametengeneza umoja ambao unaitwa NAFDA (Namfua Flag Development Association). Umoja huu umesajiliwa na mpaka sasa kuna wanachama wasiopungua thelethini na kwa umoja huo miradi mningi inafikiriwa kuanzishwa hivyo kila mwanafunzi aliyesoma Namfua Mwaka wowote anapaswa kuwa katika umoja huu. Malengo na madhumuni ya umoja huu ni kusaidiana katika shida na raha pamoja na kuwa taasisi ya kifedha na kuweza kuibua miradi mbali mbali pamoja na kusaidia jamii vijijini katika kuondoa umaskini