Watuhumiwa
wa Ujambazi wakiwa wamewekwa chini ya Ulinzi mara baada ya kutiwa
mbaroni kwenye mataa ya Red cross katikati ya jiji Dar es salaam mchana
huu.
Inaelezwa kuwa Majambazo hao walimvamia na kumpora raia mmoja wa
kigeni (Mzungu) maeneo ya Kinondoni na kufanikiwa kukimbia, lakini kumbe
wakati wanafanya tukio hilo kuna raia aliwaona na alijitolea
kuwakimbiza kwa gari na kufawanikiwa kuwablock maeneo hayo ya Red Cross
ambapo huwa na askari wengi wa doria, wamekamatwa na bunduki mbili.